Maelezo ya Vikao

Maelezo ya Vikao

Kikao cha 1

Dhana

KARIBU KWA ZÚME — Utaona jinsi Mungu hutumia watu wa kawaida wanaofanya vitu rahisi kufanya athari kubwa.
WAFUNDISHE KUTII — Kugundua kiini cha kuwa mwanafunzi, kufanya mwanafunzi, na kanisa ni nini.
KUPUMUA KIROHO — Kuwa mwanfunzi kunamasnishs kudikis kutoka kwa Mungu na kumtii Mungu.

Vifaa

USOMAJI WA BIBLIA KI S.O.A.P.S. — chombo cha usomaji wa Biblia wa kila siku ambacho husaidia hukusaidia kuelewa, kutii na kushiriki Neno la Mungu.
VIKUNDI VYA UWAJIBIKAJI—chombo cha watu wawili au watatu wa jinsia moja kukutana kila juma na kuhimiana katika maeneo ambayo yanaendelea vizuri na kutambua maeneo ambayo yanahitaji kusahihisha.

Mazoezi

VIKUNDI VYA UWAJIBIKAJI — Mkajigawanye kwa vikundi vya watu wawili au watatu na mkashughulikie Maswali ya Uwajibikaji. (dakika 45)

Kikao cha 2

List 100 people you know, 3 categories: those who follow Jesus, those who don't follow Jesus, those they're not sure about

Dhana

WAZALISHAJI NA WATUMIAJI — Utagundua njia nne ambazo Mungu mfuasi wa kila siku kuwa Zaidi kama Yesu.

Vifaa

MFUATANO WA MAOMBI — Ona jinsi ilivyo rahisi kutumia lisali moja kwa maombi.
ORODHA YA 100 — chombo kilichobuniwa kukusaidia kuwa msimamizi mwema wa mahusiano yako.

Mazoezi

MFUATANO WA MAOMBI — Tumia dakika 60 kwa maombi kibinafsi.
ORODHA YA 100 — Buni orodha yako mwenyewe ya 100. (dakika 30)

Kikao cha 3

Whoever can be trusted with very little can also be trusted with much. - Jesus. Breathe in, hear, breathe out, obey and share. Giving God's blessings
Obey, do, practise, share, teach, pass on

Dhana

UCHUMI WA KIROHO — Jifunze jinsi uchumi wa Mungu ni tofauti na ule wa dunia. Mungu anatoa zaidi kwa wale ambao ni waaminifu na yale waliyopewa tayari.
INJILI-Jifunze njia ya kushiriki njili ya Mungu kutoka mwanzo mwa mwanadamu hadi mwisho wa wakati huu.

Vifaa

UBATIZO — Yesu alisema, “Nendeni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi, MKIWABATIZA kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu…” Jifunze jinsi ya kujizoeza hili.

Mazoezi

SHIRIKI HADITHI YA MUNGU — Mkajigawanye katika vikundi vya watu wawili ama watatu na makjizoeze kusimulia Hadithi ya Mungu. (dakika 45)

Kikao cha 4

Dhana

BARAKA KUU — Jifunze njia rahisi ya kufanya si mfuasi mmoja tu wa Yesu bali jamaa zote za kiroho ambazo zinajizidisha kwa vizazi vijavyo.
MACHO YA KUONA — Anza kuona kule Ufalme wa Mungu haupo. Hii ndio sehemu Mungu anahitaji ukafanye kazi.
UWANAFUNZI WA WATOTO WA BATA — Jifunze watoto wa bata wanahusianaje na kufanya wanafunzi.

Vifaa

USHUHUDA WA DAKIKA-3 — Jifunze jinsi ya kushiriki ushuda wako kwa dakika tatu kwa kushiriki jinsi Yesu amekupa vishindo katika maisha yako.
MEZA YA BWANA — Ni njia rahisi ya kusherehekea uhusiano wetu wa karibu na uhusiano unaoendelea na Yesu. Jifunze njia rahisi ya kusherehekea.

Mazoezi

KUSHIRIKI USHUHUDA — Mkajigawanye katika vikundi vya watu wawili au watatu na mkajizoeze kutoa Ushuhuda na wengine. (dakika 45)
SALA YA BWANA — Tumieni wakati kama kundi kufanya hivi pamoja. (dakika 10)

Kikao cha 5

Dhana

MTU WA AMANI — Jifunze huyu mtu wa amani anaweza kuwa nani na jinsi ya kuelewa ikiwa umepata mmoja.

Vifaa

KUTEMBEA KWA MAOMBI — Ni njia rahisi ya kutii amri ya Mungu ya kuombea wengine. Na jinsi inavyosikika — Muombe Mungu ukiwa unatembea!

Mazoezi

MAOMBI YA B.L.E.S.S. —Jifunze kujikukumbusha njia za kuombea wengine. (dakika 15)
KUTEMBEA KWA MAOMBI — Mkajigawanye katika vikundi vya watu wawili au watatu na mkaende nje kwa jamii mikizoeza Maombi ya Kutembea. (dakika 60-90)

Kikao cha 6

Dhana

UAMINIFU — Kile wanachoelewa wanafunzi ya maana — Lakini ni yamaana sana kwa kile WANACHOFANYA na yale wanafahamu.

Vifaa

MUUNDO WA KUNDI LA 3/3 — Kundi la 3/3 ni njia ya wanafunzi wa Yesu kukutana, kuomba kujifunza, kukua, ushirika na kujizoeza kutii na kushirikiana yale wamejifunza. Katika njia hii, kundi la 3/3 sio tu kundi ndogo bali kanisa (dakika 80)

Kikao cha 7

Dhana

MFUATANO WA MAFUNDISHO — Jinfunze mfuatano wa mafundisho na ufikirie jinsi inavyotumika kwa kufanya wanafunzi.

Mazoezi

KUNDI LA 3/3 — Kundi nzima litatumia dakika 90 likijizoeza muundo wa 3/3 la kundi.

Kikao cha 8

Dhana

CHEMBE ZA UONGOZI—Chembe ya Uongozi ni jinsi mtu anavyohisi ameitwa kuongoza anaweza kuendeleza uongozi kwa kujizoeza kuwa mtumishi.

Mazoezi

KUNDI LA 3/3 — Kundi nzima litatumia dakika 90 likijizoeza muundo wa 3/3 la kundi.

Kikao cha 9

Dhana

ISIO NA MWANDAMANO — Ona jinsi kufanya wanafunzi haihitaji kuwa wa msitariVitu vingi vinaweza kufanyika kwa wakati mmoja.
KASI — Kujizidisha kunafaa na kujizidisha kwa haraka kunafaa hata zaidi. Angalia kwa nini kasi inafaa.
SEHEMU YA MAKANISA MAWILI — Jifunze jinsi ya kutii amri za Yesu kwa kwenda NA kuKaa.

Mazoezi

Mpango wa Miezi- 3 - Buni na ushiriki mpango wako wa jinsi utakavyoweza kutekeleza vyombo vya Zume katika miezi mitatu ijayo. (dakika 60)

Kikao cha 10 - Mafundisho ya Juu

Dhana

UUONGOZI KATIKA MITANDAO - Jifunze jinsi kuzidisha makanisa hubaki umeungsanika na kuishi maisha ya pamoja kama jamaa pana ya kiroho.

Vifaa

MAFUNDISHO YA ORODHA-Mafundisho ya orodha ni kifaa cha nguvu unaweza tumia kupima uwezo wako na udhaifu wakati wa kutengeneza ongezeko la wanafunzi.
VIKUNDI VYA USHAURI - Hii ni kundi ambalo linajumuisha watu ambao wanaongoza na kuanzisha Vikundi vya 3/3. Pia inafuata muundo wa 3/3 na pia ni njia yenye nguvu ya kutathmini afya ya kiroho ya kazi ya Mungu katika eneo lako.

Mazoezi

VIKUNDI VYA USHAURI - Mkajigawanye kwa vikundi vya watu wawili au watatu na mshughulike muundo wa Vikundi vya Ushauri. (Dakika 60)