Kuhusu Mafunzo ya Zúme
Zume hutumia mafundisho ya mtandao kuwa sehemu ya kuwapa washiriki vifaa vya kimsingi vya kutengeneza wanafunzi,na kanuni za kanisa kuongezeka,mchakato na mazoezi.
Malengo za Mradi wa Zúme:
Zume humaanisha chachu kwa Kigiriki.Katika Mathayo 13:33,Yesu ananukuliwa akisema,Ufalme wa Mungu ni kama mwanamke aliyechukuwa chachu na kuichanganya na unga mwingi hadi ukawa uchachuka.Mfano huu unatuonyesha jinsi watu wa kawaida,hutumia rasilimali za kawaida,kunaweza kuwa na matokeo yasio ya kawaida kwa ufalme wa Mungu.Lengo la Zume ni kuwapa na kuwatia nguvu waumini wa kawaida kujichanga ulimwenguni kwa kuongeza wanafunzi katika kizazi chetu.
Zume hutumia mafundisho ya mtandao kuwa sehemu ya kuwapa washiriki vifaa vya kimsingi vya kutengeneza wanafunzi,na kanuni za kanisa kuongezeka,mchakato na mazoezi.

Zume ina awamu 10,masaa mawili kwa kila awamu:
- Video na Sauti ili kusaidia kundi lako kuelewa kanuni za msingi za kuzidisha wanafunzi.
- Majadiliano ya Vikundi kusaidia kundi lako kufikiria yale yanayoshirikishwa.
- Zoezi Rahisi la kusaidia kundi lako kuweka yale mnajifunza katika matumizi.
- Changamoto ya kipindi kusaidia kundi lako kuendelea kujifunza na kukua kati ya vikao.

Jinsi ya kuanza:
- Ikiwa hujabuni jinsi ya kuingia bado, tafadhali fanya hivyo.
- Alika marafiki 3 hadi 11.Kundi la watu wa idadi ya chini kama 3 hadi 4 wanahitajika kwa mazoezi na mwanzo wa ma fundisho.
- Tenga wakati wa kuwa pamoja na marafiki zako.
- Hakikisha una kifaa kinachowezeshwa na mtandao.

Matayarisho ya hiari kwa mkutano wako wa kwanza: Optional prep for your first meeting:
- Pakua Kitabu cha Mwongozo cha Zúme.
- Ukipenda, unaweza kuchapa nakala kwa wanachama wa kundi lako.
- Fikiria kuunganisha kwenye Runinga au chombo cha kutupa picha ili kila mtu katika kundi lako aweze kuitazama.