Mafundisho ya Zúme
Mafundisho ya Zúme ni ya kimtandao na mafundisho ya kimaisha iliyobuniwa kwa ajili ya vikundi vidogo vinavyomfuata Yesu ili kujifunza jinsi ya kutii Agizo Kuu lake na kuwafanya wanafunzi wanaojizidisha.
Zúme ina vipindi 10, mas 2 kwa kila kipind:
Video na Sauti ili kusaidia kundi lako kuelewa kanuni za msingi za kuzidisha wanafunzi.
Majadiliano ya Vikundi kusaidia kundi lako kufikiria yale yanayoshirikishwa.
Zoezi Rahisi la kusaidia kundi lako kuweka yale mnajifunza katika matumizi.
Changamoto ya kipindi kusaidia kundi lako kuendelea kujifunza na kukua kati ya vikao.